Sigh. Africa is Africa still. We’re not in Kansas now, Dorothy…

Wapenzi wa jinsia moja kukatwa vichwa

Rais wa Gambia, Yahya Jammeh

Rais Jammeh awapa masaa 24 wapenzi wa jinsia moja kutokomea

 Tangazo hilo limewakasirisha wanaharakati wa kutetea haki za wapenzi hao.

Rais Jammeh alitoa onyo hilo wakati akiendelea na msururu wa mikutano ya kisiasa nchini humo.

Aliapa "sheria zitakuwa kali zaidi kuliko Iran" kwa wapenzi wa jinsia moja na akasema kuwa atakata kichwa cha mtu yeyote mwenye kufanya mapenzi na mwenziwe wa jinsia moja.

Carey Johnson kutoka baraza la kimataifa la wapenzi wa jinsia moja alisema kuwa matamshi hayo ni ya "kufedhehesha".

"Jambo ambalo Rais Jammeh anashindwa kutambua ni kwamba asilimia kubwa ya Wagambia wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja na hivyo hana haki yoyote ya kuwafukuza nchini."

Advertisements
This entry was posted in Uncategorized. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s